Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuHotubaHotuba za Marais Mwl Julius Kambarage Nyerere

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa Rais wa Kwanza wa Tanganyika na baadaye Tanzania  kuanzia 1962-1985. Alizaliwa tarehe 13 Aprili, mwaka 1922 katika kijiji cha Butiama, Wilaya ya Musoma katika Mkoa wa Mara. Alikuwa mtoto wa Chifu Nyerere Burito na Bibi Christina Mugaya Wanyang’ombe. Alikuwa Mtanzania wa kwanza  kusoma chuo kikuu  Uingereza na wa pili kutoka Afrika kupata shahada ya chuo kikuu. Nyerere alileta vikundi mbalimbali vya kizalendo kuwa kundi moja jitihada zilizofanikiwa mwaka 1954. Alisafiri nchi nzima ,akizungumza na watu na watemi wa makabila kujaribu kupata  msaada katika harakati kuelekea uhuru.

Mwalijmu Julius Kambarage Nyerere alifariki dunia tarehe 14 Oktoba, 1999 kutokana na Kansa ya Damu katika hospitali ya Mtakatifu Thomas iliyoko jijini London, Uingereza. Sehemu hii inakuletea baadhi ya hotuba zake alizotoa kuhusiana na Ujamaa, Mambo ya Nje,Elimu na Uchumi wa Tanzania. Kwa maelezo zaidi soma profile yake. 

 

Chagua kutoka kwenye orodha, kutafuta Hotuba za Mwl Julius Kambarage Nyerere.


Tarehe
Maneno Muhimu:

No Mwl Julius Kambarage Nyerere Tarehe Faili / Anuani Miliki
1 Hotuba ya Rais kwa Wanachama wa Bunge la Afrika Kusini (kwa Kiingereza) 64.8 KB
2 Umoja kwa ajili ya Mpango Mpya, Arusha (kwa Kiingereza) 1979-02-12 2.1 MB
3 Uhuru na Maendeleo 3.7 MB
4 Ulimwengu wa Tatu na Muundo wa Uchumi wa Kimataifa-1976 (kwa Kiingereza) 3.9 MB
5 Changamoto ya Uchumi (kwa Kiingereza) 1975-11-21 132.6 KB
6 Tanzania Miaka Kumi baada ya Uhuru-1971 10.2 MB
7 Tanzania Yakataa Utawala wa Magharibi-1978 (kwa Kiingereza) 1.8 MB
8 Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania (kwa Kiingereza) 1967-10-16 5.3 MB
9 Mabadiliko ya Utulivu Afrika (kwa Kiingereza) 4.2 MB
10 Tanganyika na Zanzibar (kwa Kiingereza) 1954-07-20 4.1 MB
11 Hotuba Nchini Uingereza (kwa Kiingereza) 1985-03-18 4.4 MB
12 Hotuba ya Rais Nyerere Bungeni (kwa Kiingereza) 1985-07-29 5.5 MB
13 Hotuba ya Rais Nyerere Bungeni (kwa Kiingereza) 1975-07-18 4.7 MB
14 Baraza la Udhamini la Umoja wa Mataifa (kwa Kiingereza) 1998-09-21 47.5 KB
15 Kuaga (kwa Kiingereza) 1985-11-04 2.2 MB
16 Elimu ya Kujitegemea-1967 (kwa Kiingereza) 6.6 MB
17 Azimio la Arusha Bungeni (kwa Kiingereza) 1970-07-06 3.3 MB
18 Baada ya Tume Pearce-1972 (kwa Kiingereza) 4.4 MB
19 Wakati wa Mapambano-1980 (kwa Kiingereza) 3.7 MB
20 Uhuru na Maendeleo 3.7 MB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-21 17:41:30
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0