Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuHotubaHotuba za Marais Dkt. Benjamin W. Mkapa

Mheshimiwa Rais Benjamin William Mkapa aliongoza awamu ya tatu kutoka Oktoba 1995 hadi Novemba 2005.Alikuwa  Rais wa kwanza aliyechaguliwa katika uchaguzi ulioshirikisha vyama  vingi vya siasa tangu mfumo huo uliporejeshwa mwaka 1992. Mheshimiwa Mkapa alizaliwa Masasi, Mkoani Mtwara tarehe 12 Novemba, 1938. Alipata elimu ya msingi na sekondari kati ya mwaka 1945 – 1956 katika shule za Lupaso, Ndanda, Kigonsera na Pugu.

Alipata shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda mwaka 1962, na shahada ya Uzamili ya  Masuala ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Columbia, Marekani mwaka 1963. Aliajiriwa kama Ofisa Tawala na hatimaye Ofisa Mambo ya Nje. Kati ya mwaka 1966 na 1976 alifanya kazi katika Taasisi mbalimbali za umma.

Baadhi ya nyadhifa alizoshika kati ya Mwaka 1976 hadi Septemba mwaka 1995 ni pamoja Balozi wa Tanzania nchini Nigeria 1976; Balozi wa Tanzania nchini Canada 1982 – 1983; Mbunge wa Nanyumbu na Waziri wa Mambo ya Nje 1977 – 1980 na 1983-84; Waziri wa Habari na Utamaduni 1980 – 1982; Waziri wa Habari na Utangazaji 1990; Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu mwaka 1992 – Septemba 1995. Sehemu hii inakuletea hotuba alizowahi kutoa wakati wa uongozi wake.

Chagua kutoka kwenye orodha, kutafuta Hotuba za Dkt. Benjamin W. Mkapa.


Tarehe
Maneno Muhimu:

No Dkt. Benjamin W. Mkapa Tarehe Faili / Anuani Miliki
1 Hotuba ya Rais ya Ufunguzi wa Semina ya Jeshi la Siasa katika Maandalizi kwa ajiri ya Zoezi la Mafunzo ya Jeshi la Pamoja, Hoteli ya Sheraton , Dar es salaam (kwa Kiingereza) 2001-05-08
2 Hotuba ya Rais katika Ufunguzi wa Mkutano wa Tisa wa Hali ya Siasa Tanzania, Ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es salaam (kwa Kiingereza) 2001-05-10
3 Hotuba ya Rais katika Uzinduzi wa Baraza la Biashara za Kitaifa Tanzania, Hoteli ya Sheraton, Dar es salaam (kwa kiingereza) 2001-04-09 57.3 KB
4 Hotuba ya Rais katika Mkutano wa Kimataifa juu ya Kurekebisha Mazingira ya Biashara, Hoteli ya Grand Hyatt, Cairo 2005-11-29
5 Hotuba ya Rais kama Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania (TNBC), katika TNBC Chakula cha Jioni, Hoteli ya Golden Tulip, Dar es salaam (kwa kiingereza) 2005-03-15 85.8 KB
6 Taarifa iliyotolewa na Rais wa Umoja wa Mataifa Kikao cha Mkutano Mkuu Maalum wa Mapitio na Utekelezaji wa Agenda 21, New York (kwa Kiingereza) 1997-06-23 95.5 KB
7 Hotuba ya Rais ya Uzinduzi wa Maarifa ya Asilia ya Mbinu za Wenyeji za Kuleta Maendeleo ya Dunia, Dar es salaam (kwa Kiingereza) 2004-10-20 95.3 KB
8 Hotuba ya Rais kwa Wananchi 2001-04-27 82.9 KB
9 Hotuba ya Rais kwa Wanainchi 2001-05-31 99.4 KB
10 Hotuba ya Rais kwa Wananchi 2001-03-31 106.3 KB
11 Hotuba ya Rais Akifungua Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza, Hoteli ya Capricorn, Marangu, Moshi 2001-04-19 132.5 KB
12 Hotuba ya Rais ya Uzinduzi wa Sherehe za Afrika ya Mashariki (kwa Kiingereza) 2002-10-24 89.8 KB
13 Hotuba ya Rais katika Ufunguzi wa Mkutano wa Ngazi ya Tisa wa Bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria, Arusha (kwa Kiingereza) 2004-11-17 95.9 KB
14 Hotuba ya Rais kwenye Sikukuu ya Wafanyakazi, Dar es salaam 2001-05-01 145.7 KB
15 Hotuba ya Rais kwenye Mkutano wa Mchakato wa Mwisho wa Helsinki (kwa Kiingereza) 2005-09-08 227.0 KB
16 Hotuba ya Rais katika Mkutano wa Mwaka kuhusu Kampeni ya Jubilei ya Deni (kwa Kiingereza) 2005-02-26 284.5 KB
17 Hotuba ya Rais kwenye Sherehe ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa 2005-10-14 180.7 KB
18 Hotuba ya Rais kwa Wananchi 2005-01-31 203.5 KB
19 Hotuba ya Rais katika Ufunguzi wa Semina ya Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Kisiasa kuhusu Kuendeleza Dhamira ya Muafaka 2005-02-19 235.0 KB
20 Hotuba ya Rais kwa Wananchi 2005-08-31
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-21 20:48:34
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0