Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUtaliiPanga Safari yakoMwongozo kwa MsafiriMtindo wa SafariStaili utakayoipenda

Mtindo wako mwenyewe

Angalia mambo mengi ya kuchagua kabla ya kuja Tanzania. Jaribu na panga kwa ajili ya Safari itakayokufaa zaidi.

Iwapo unahitaji hoteli ya anasa ya nyota tano, utapotoshwa na uchaguzi huo. Lakini iwapo unapenda kufurahia uzuri wanchi na kuepuka mitego ya ustaarabu, unaweza kutayarishiwa safari hiyo. 

Fikiria namna utakavyokuwa unasafiri hapa na pale na itakuchukua muda gani. Je, ungetaka kutumia ndege ndogo kuepuka safari ndefu kwa njia ya barabara, au unafurahi kusafiri kwa gari maeneo ya shamba na vijijini?

Inawezekana kupanga safari inayochanganya burudani na kutembelea maeneo mbalimbali, burudani na yasiyosumbua kiasili, uzoefu wa kijamii na upweke.

Jaribu kufikiria uzoefu wa aina mbalimbali na kuiangalia nchi hii kubwa na nzuri kutoka mitazamo tofauti.

Ukiwa Tanzania unaweza ukafanya Safari tofauti kila siku.

 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-27 17:41:30
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0